Mshambuliaji Joseph Guede ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Yanga mwezi April (Nic Player of the Month)
Guede ametwaa yuzo hiyo baada ya kupigiwa kura kwa wingi na mashabiki wa Yanga akiwapiku Djigui Diarra na Jonas Mkude
Mwezi April Guede alikuwa 'on-fire' akiifungia Yanga mabao muhimu, alipachika mabao manne katika mechi za ligi kuu ya NBC
Pamoja na tuzo, Guede ataondoka na kitita cha Tsh Milioni 4 kutoka kwa wadhamini NIC Insurance
ADVERTISE HERE