Historia kujirudia Manungu leo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2024
Historia kujirudia Manungu leo?

Ilikuwa May 13 2023 katika uwanja wa Azam Complex Yanga ilitwaa ubingwa ligi kuu kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji

Kennedy Musonda aliitanguliza Yanga mapema katika kipindi cha kwanza kabla ya Seif Karihe kutaka kuvuriga sherehe ya ubingwa wa Wananchi kwa kifungia timu yake mabao mawili ya haraka haraka

Wakati ikionekana Yanga haitaweza kutangaza ubingwa katika mchezo huo, Mfalme wa Azam Complex Midathir Yahya akairejesha Yanga mchezoni kabla ya Farid Mussa kuongeza bao la tatu dakika za jioooni

Mudathir tena akapigilia msumari wa mwisho kwenye dakika za majeruhi na kuihakikishia Yanga ubingwa ya 29

Ni tarehe 13 May tena, leo Yanga ikiwa uwanja wa Manungu, Turiani katika mchezo mwingine wa kutangaza ubingwa

Kama Wananchi watafanikiwa kubeba ubingwa leo kwa kuibuka na ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar, watarudia kile walichofanya msimu uliopita pale Azam Compex

May 13 itaingia katika vitabu vya kumbukumbu vya klabu ya Yanga kuwa tarehe ambayo Yanga ilitwaa ubingwa katika misimu miwili iliyofuatana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’