Huyu Rais wa Yanga Injinia Hersi Said atawanyoosha sana wale waliokuwa wakikosoa uongozi wake na kumuita 'msela'
Baada ya kusimamia kwa mafanikio Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa Yanga chini ya Udhamini wa GSM, tmu nyingi zimevutiwa na sasa zinakuja kujifunza
TP Mazembe ni moja ya klabu zenye mafanikio makubwa katika soka barani Afrika. Ukiondoa Al Ahly, anayefuata kwa wingi wa mataji ya CAF CL ni Mazembe
Lakini timu hiyo imefunga safari kutoka DR Congo kuja kujifunza uendeshaji bora wa klabu yao. Yaani wamekuja kuchukua madini kwa aliyeitwa 'msela'
Kwa hakika Yanga inajivunia kuwa na viongozi aina ya Hersi, chini yake mafanikio makubwa zaidi yatapatikana







ADVERTISE HERE