Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya mabadiliko ambapo tuzo za ligi kuu zitatolewa katika michuano ya Ngao ya Jamii inayoashiria uzinduzi wa msimu mpya
Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, tuzo za msimu huu sasa zitatolewa katika michuano ya Ngao ya Jamii itakayofanyika mwezi August 2024
ADVERTISE HERE