Yanga inahitimisha shamrashamra za ubingwa wa ligi kuu ya NBC 2023/24 kwa taji hilo kupandishwa juu ya mlima Kilimanjaro
Ni tukio jingine la kihistoria ambalo Yanga inakwenda kufanya. Kwa taji hilo kupandishwa juu ya mlima Kilimanjaro, dunia itafahamu Yanga ni mabingwa wa Tanzania lakini pia ni mvuto kwa watalii kutembelea mlima huo mrefu zaidi barani Afrika


ADVERTISE HERE