Diarra ashinda tuzo Mali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2024
Diarra ashinda tuzo Mali

Mlinda lango wa Yanga, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Mali kwa wanaocheza Afrika msimu 2023/2024

Tuzo hizo maalumu hutolewa nchini Mali kwa wachezaji wao waliofanya vizuri kwa msimu husika (Mali Football Awards)

Diarra ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Sadio Kanoute kiungo mkabaji wa Simba, Fily Traore mshambuliaji wa TP Mazembe, Aliou Dieng kiungo mkabaji wa Al Ahly na Abdoulaye Kanou mshambuliaji wa USM Alger

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’