Mapema leo, uongozi wa Yanga chini ya Rais Eng.Hersi Said walimtembelea Rais mstaafu wa awamu ya saba na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein nyumbani kwake visiwani Zanzibar na kumpatia zawadi ya Jezi za Ubingwa wa ligi kuu msimu huu pamoja na kuzungumza naye mambo mbalimbali ya maendeleo ya Klabu ya Yanga
Kikosi cha Yanga kiko visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa leo katika uwanja wa New Amaan Complex








ADVERTISE HERE