Wakati akihitimisha shamrashamra za ubingwa wa ligi kuu pale Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said aliahidi kuwa watashinda taji la FA kwa mara nyingine na kurudi nalo Jangwani kuwakabidhi Wananchi
Baada ya kufanikisha ahadi hiyo, kutakuwa na parade maalum ya mapokezi ya Yanga pale itakaporejea kutoka visiwani Zanzibar
Ni rekodi kwa Yanga kutwaa taji la FA kwa misimu mitatu mfululizo lakini pia ukiwa ushindi wa pili mfululizo katika mchezo wa fainali dhidi ya Azam Fc
ADVERTISE HERE