Raha ya makombe ni kwa Wananchi tu, wengine yawapasa waendelee kuvumilia! Yanga ilirejea jana jioni kutoka Zanzibar wakiwa na taji la FA walilotwaa baada ya kuichapa Azam Fc
Hivi ndivyo Wananchi walivyofunga msimu kwa paredi kutoka bandarini hadi Makao Makuu ya Yanga, Jangwani wakiwa na kombe la lao










ADVERTISE HERE