Mapema leo, Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng.Hersi Said, imefanya kikao maalumu cha maandalizi ya Mkutano mkuu wa Wanachama (Annual General Meeting - AGM) kilichofanyika katika ukumbi wa Urban By City Blue, Masaki Jijini Dar Es Salaam
Mkutano Mkuu wa Yanga utafanyika Jumapili, Juni 09 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere







ADVERTISE HERE