Mapema leo, Balozi wa China nchini Tanzania Mh. Chen Mingjian, akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Makampuni ya Silent Ocean na Kilimanjaro Star Cargo Ndg. Salaah Said Mohamed, walitembelea timu ya Vijana ya Yanga inayojifua viwanja vya Avic Town Kigamboni
Balozi wa China nchini Tanzania aliipongeza Klabu ya Yanga kwa kuendelea kutengeneza vipaji na kukuza soka la vijana



ADVERTISE HERE