Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili kesho Jumamosi Juni 15 2024
Dirisha hili litakuwa wazi mpaka August 15 2024. TFF imezitaka klabu kuzingatia na kukamilisha michakato yote ya usajili katika muda huo kwani hakutakuwa na muda wa nyongeza
ADVERTISE HERE