Aziz Ki achuana na nyota Bayer Levekusen

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2024
Aziz Ki achuana na nyota Bayer Levekusen

Licha ya kukosa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Burkina Faso, kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki aliingia katika tatu bora ya kinyan'ganyiro cha kuwania tuzo hiyo

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Burkina Faso na klabu ya Bayer Levekusen ya Ujerumani, Edmond Tapsobna ndiye aliyeshinda tuzo hiyo mbele ya Aziz Ki na Issofou Dayo wa RS Berkane

Hafla ya tuzo hizo zinazofahamika kwa jina la GOLD Stallion, ilifanyika usiku wa kuamkia leo na hutolewa kila mwaka huko Burkina Faso

Wakati Aziz Ki akiibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC huku akiisaidia Yanga kutwaa mataji ya ligi kuu na FA, Tapsoba alibebwa na mafanikio ya Levekusen ambayo ilitwaa taji la ligi kuu ya Ujerumani pasipo kupoteza mchezo na pia wakishinda DFB Pokal huku wakicheza fainali ya ligi ya Europa

Aziz Ki ana nafasi kubwa ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuibuka mfungaji huku pia akitoa assist nane

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’