Dirisha la usajili limefunguliwa rasmi leo Juni 15 2024 na litafungwa August 15 2024
Ni takribani miezi miwili kwa timu za Ligi Kuu, Championship, First Division na Ligi ya Wanawake kufanya maboresho ya vikosi vyao
Ahadi ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ni kufanya usajili mkubwa ambao utakidhi malengo ya mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo
Yanga imepania kuendeleza ubabe wake katika soka la ndani lakini kufanya vizuri zaidi katika ligi ya mabingwa msimu ujao
Huu ndo muda ambao Mwananchi unapaswa kuhakikisha simu yako ina bando muda wote ili usipitwe na taarifa muhimu za usajili
ADVERTISE HERE