Mashabiki na Wanachama wa Yanga mkoani Geita leo wamepata nafasi ya kipekee kwa kufanya paredi la ubingwa
Maafisa wa Yanga wako Geita wakiendelea na zoezi la usajili wa Wanachama na Mashabiki. Mataji ya Ligi Kuu na FA yaliwasili Geita mapema leo kwa ajili ya parade hilo





ADVERTISE HERE