AS Maniema kufanya pre-season Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2024
AS Maniema kufanya pre-season Avic Town

Klabu ya AS Maniema kutoka DR Congo ambayo msimu ujao itashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika, inatarajiwa kuwasili nchini mwanzoni mwa mwezi Julai kwa ajili ya kuweka kambi ya pre-season Avic Town

Yanga imewapa ruhusa Maniema kujifua Avic Town wakati wenyewe wakielekea baran Ulaya kwa ajili ya kambi yao ya Pre-season

Maniema na Yanga zimekuwa na ushirikiano hasa katika kuuziana wachezaji ambao msimu uliopita Yanga ilimsajili aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Maxi Nzengeli

Yanga pia inamnyemelea winga mahiri wa timu hiyo Basiala Agee na kuna nafas kubwa winga huyo akajiunga na Nzengeli katika kikosi cha Yanga

Basiala anamudu kucheza nafasi zote za winga na pia anamudu kucheza namba 10

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’