Maafisa wa Klabu ya CSKA Moscow kutoka Urusi, wamewasili nchini leo kwa ajili ya programu maalumu ya kutambua vipaji vya soka vya vijana wa Kitanzania
Programu hiyo itaendeshwa na CSKA Moscow kwa kushirikiana na Yanga, itaanza Ijumaa na itafanyika katika mikoa mitatu, Dar es Salaam, Tanga na Zanzibar
ADVERTISE HERE