Wataalam kutoka klabu ya CSKA Moscow leo wameendesha program maalum ya kutambua vipaji soka la vijana, Yanga U20 wakishiriki program hiyo
Maafisa hao wamekamilisha program jijini Dar es salaam na kesho wataelekea mkoani Tanga na baadae kumalizia visiwani Zanzibar






ADVERTISE HERE