Dube yuko nchini, ni suala la muda tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jun 2024
Dube yuko nchini, ni suala la muda tu

Mshambuliaji Prince Dube alitua nchini jana na kuelekea mkoani Morogoro kushiriki Tamasha la Wape Tabasamu lililoandaliwa na wachezaji wa Yanga Kibwana Shomari na Dickson Job ambalo litafanyika leo

Taarifa za 'ndaaani' zimedokeza kuwa Dube tayari amemalizana na Azam Fc akilipa fedha alizokuwa akidaiwa na klabu hiyo na anachosubiri sasa ni 'release letter'

Azam Fc wameahidi watampatia barua hiyo wiki ijayo ambapo baada ya kuipata, itamtambulisha kuwa ni mchezaji huru

Baada ya hatua hiyo, Yanga itakuwa huru kumtambulisha kama mchezaji wake baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili

Wakati akizungumza na wanahabari baada ya kuwasili mkoani Morogoro, Dube alidokeza kuwa msimu ujao ataendelea kuonekana katika ligi kuu ya NBC (Mungu akipenda) lakini hakuwa tayari kuitaja timu atakayojiunga nayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’