Mwamnyeto, Yanga bado hakijaeleweka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2024
Mwamnyeto, Yanga bado hakijaeleweka

Klabu ya Yanga bado iko kwenye mazungumzo na nahodha wake Bakari Nondo Mwamnyeto ili kumuongeza mkataba

Mkataba wa Mwamnyeto umemalizika, mazungumzo yanaendelea ambapo taarifa kutoka ndani ya uongozi imethibitisha kuwa bado mwafaka haujafikiwa hasa upande wa maslahi

Mwamnyeto amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa misimu minne akiwa nahodha wa mabingwa hao wa nchi

Dhamira ya Yanga ni kumbakisha Mwamnyeto ambaye pia ni beki tegemeo katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' licha ya kuwa tangu ujio wa Kocha Miguel Gamondi, amekuwa na wakati mgumu kujihakikishia nafasi katika kikosi cha kwanza

Dickson Job na Ibrahim Bacca ni chaguo la kwanza katika eneo la walinzi wa kati huku Mwamnyeto na Gift Fredy wakitumika kwa nyakati tofauti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’