Klabu ya Yanga imetangaza kuanza kwa maandalizi ya pre-season, ambapo kikosi kitarejea Avic Town Jumatatu, Julai 08
Kulingana na taarifa ya Yanga, wachezaji wapya na wale wanaoendelea kikosini wanapaswa kuwa wameripoti Avic Town
Hata hivyo bado Yanga haijaweka hadharani ni wapi kambi hiyo inakwenda kufanyika
Yanga itakuwa na takribani wiki nne za maandalizi kabla ya kilele cha wiki ya Mwananchi kitakachofanyika August 04 jijini Dar es salaam
Baada ya wiki ya Mwananchi, August 08 Yanga itachuana na Simba katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii
ADVERTISE HERE