Yao mapema tu Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2024
Yao mapema tu Dar

Ukizungumzia wachezaji wenye nidhamu ya hali ya juu katika kikosi cha Yanga, basi Yao Kouassi 'Jeshi' ni miongoni mwa wachezaji hao

Juzi Yanga ilitangaza wachezaji wote kurejea Dar tayari kuingia kambini Avic Town siku ya Jumatatu Julai 08 ambapo maandalizi ya pre-season yanatarajiwa kuanzia hapo

Yao ameianza safari mapema na pengine leo atakuwa jijini Dar es salaam tayari kuikingia kambini Jumatatu

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi aliwawekea wachezaji wake masharti kuwa ni lazima kila mmoja awepo kambini siku ya kwanza ya pre-season

Gamondi hakufurahishwa na kilichotokea msimu uliopita ambapo baadhi ya wachezaji walichelewa kurudi na kumvurugia ratiba yake

Yanga itakuwa na zaidi ya wiki tatu za maandalizi kabla ya kilele cha Wiki ya Mwananchi August 04

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’