Klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola imethibitisha kumsajili aliyekuwa mlinzi wa Yanga Joyce Lomalisa
Lomalisa alipewa mkono wa kwaheri na mabingwa hao wa nchi baada ya mkataba wake kumalizika
Alisajiliwa na Yanga mwaka 2022 akitokea klabu hiyohiyo ambayo alijiunga nayo mwaka 2020 akitokea Excel Mouscron ya Ubelgiji, iliyomnunua mwaka 2017 kutoka AS Vita ya Kinshasa iliyomuibua mwaka 2013
Yanga imemsajili Chadrak Boka, Mcongomani mwingine kuziba nafasi yake
Boka amejiunga na Yanga akitokea klabu ya Fc Lupopo ya DR Congo
ADVERTISE HERE