Yanga inaendelea na zoezi la usajili wa Wanachama na Mashabiki ambapo mwaka huu imekuja na utaratibu tofauti wa kuhamasisha Wananchi kujiandikisha kwa kuwapelekea mataji na kufanya paredi ya ubingwa
Wananchi wa Mlimba mkoani Morogoro leo ni zamu yao kufurahia ubingwa huku wakijiandikisha kutambulika kuwa mashabiki na wanachama
ADVERTISE HERE