Ngowi aula Gor Mahia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2024
Ngowi aula Gor Mahia

Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imemtangaza Mtanzania Sheria Ngowi kuwa mbunifu wa jezi za klabu hiyo kuelekea msimu wa 2024/25

Ngowi amepata tenda hiyo baada ya kazi nzuri ya ubunifu wa jezi za Yanga na timu ya Taifa ya Zanzibar

Ngowi sasa ni miongoni mwa wabunifu mahiri barani Afrika lakini ni Yanga iliyomtangaza zaidi tangu alipokabidhiwa tenda ya kuandaa jezi ya Wananchi kuanzia msimu wa 2019/20

Tayari Ngowi amekamilisha ubunifu wa jezi za Yanga msimu wa 2024/25 kinachosubiriwa ni muda wa utambulisho ambao unatarajiwa kufanyika kabla ya wiki ya Mwananchi itakayohitimishwa August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’