Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umeandaa mapokezi ya klabu ya Yanga ambayo itatua nchini humo leo Alhamisi kwa ajili ya awamu ya pili ya pre-season
Watanzania waishio Afrika Kusini wamealikwa kuwapokea mabingwa wa nchi uwanja wa ndege wa Kimataifa Oliver Tambo

ADVERTISE HERE