Leo saa 10 jioni Wananchi watakuwa mbele ya runinga zao kuishuhudia timu yao katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Mpumalanga Internatinal's Cup dhidi ya Augsburg ya Ujerumani
Azam TV watarusha mchezo huo mbashara kutoka dimba la Mbombela huko Mpumalanga

ADVERTISE HERE