Rais wa Yanga Injinia Hersi Said katika picha ya pamoja na Rais wa Ausburg Markus Krapf pamoja na Rais wa TS Galaxy Tim Sukazi mara baada ya mchezo wa ufunguzi Mpumalanga International Cup kati ya Yanga dhidi ya FC Augsburg kwenye Uwanja wa Mbombela, Afrika Kusini
Yanga itachuana na TS Galaxy katika mchezo unaofuata Julai 24 kabla ya TS Galaxy kuhitimisha michuano hiyo kwa kuumana na Fc Ausburg Julai 27




ADVERTISE HERE