Yanga imerejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata katika michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup dhidi ya TS Galaxy
Mtanange huo utapigwa Jumatano, Julai 24 katika dimba la Mbombela huko Mpumalanga, Afrika Kusini








ADVERTISE HERE