Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa pili wa Mpumalanga Premier's International Cup dhidi ya TS Galaxy
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Mbombelo

ADVERTISE HERE