Bado takribani siku tano kuelekea Wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake ni August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wameendelea kununua tiketi kwa kasi, kama bado hujanunua basi wakati ni huu kabla hujakutana na 'SOLD OUT'
Mpaka sasa Yanga imethibitisha tiketi za VVIP, Royal na VIP A tayari zimeuzwa zote, Wananchi wameaswa kuendelea kununua tiketi za VIP B, C, Machungwa na Mzunguuko

ADVERTISE HERE