Sold Out ya tiketi za Wananchi inakaribia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2024
Sold Out ya tiketi za Wananchi inakaribia

Zikiwa zimebaki siku mbili kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi siku ya Jumapili, August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, muda sio rafiki kwa wale ambao bado hawajakata tiketi

Mpaka sasa Yanga imethibitisha kumaliza tiketi za Royal, VVIP, VIP A na VIP B ambapo tiketi zinazopatikana ni VIP C, Machungwa na Mzunguuko pekee

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mpaka kufikia jioni ya leo inawezekana tiketi zikawa zimemalizika

Kamwe amewataka mashabiki wa Yanga kununua tiketi zao mapema ili kuhakikisha hawakosi burudani ya kipekee ambayo Wananchi wameandaliwa siku ya Jumapili

Mchanganuo wa tiketi zinazopatikana asubuhi ya Ijumaa, August 02

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’