Pacome sasa yuko tayari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Aug 2024
Pacome sasa yuko tayari

Dakika 45 alizocheza katika mchezo wa kuhitimisha wiki ya Mwananchi dhidi ya Red Arrows juzi, zilithibitisha kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua sasa yuko fit kuwapa furaha Wananchi msimu huu

Baada ya kupata majeraha Machi 17 msimu uliopita, Pacome alikaa nje kwa muda mrefu na hata aliporejea dimbani mwishoni mwa msimu huo, hakuwa katika ubora wake

Ni wazi ametumia vyema pre-season na sasa anaonekana yuko tayari kuipambania Yanga msimu huu

Bila shaka kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi atamjumuisha mwamba huyu katika wanaume 11 ambao ataanza nao katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Simba siku ya Alhamisi

Hivi hawaogopi?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’