Michuano ya Ngao ya Jamii inaanza kutimua vumbi kesho Alhamisi ambapo mechi za nusu fainali zitapigwa
Mabingwa wa ligi kuu ya NBC Yanga watachuana na watani zao Simba waliomaliza nafasi ya tatu msimu uliopita mchezo ukipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Hivi hapa viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 1 usiku
ADVERTISE HERE