Tayari imetangazwa ratiba ya ligi kuu ya NBC 2024/25 inayotarajiwa kuanza Ijumaa ijayo, August 16 2024
Mabingwa watetezi Yanga wao wataanzia ugenini August 29 mkoani Kagera kuikabili Kagera Sugar
Yanga inakabililiwa mechi mbili za hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Vital'o ya Burundi August 18 na August 25 hivyo itaanza kampeni ya kutetea taji lake baada ya mechi hizo
Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Ken Gold mkoani Mbeya, Septemba 25
Mechi ya kwanza ya dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba ni Oktoba 19Β








ADVERTISE HERE