Kikosi cha Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Vital'o
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, August 17 katika uwanja wa Azam Complex








ADVERTISE HERE