Hawa Vital'o wanaijua au wanaisikia Yanga?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2024
Hawa Vital'o wanaijua au wanaisikia Yanga?

Klabu ya Vital'o kupitia msemaji wao ni kama wameitafuta 'vita' dhidi ya Yanga kwa nguvu

Kauli alizotoa katika vyombo mbalimbali vya habari tangu jana zinaweza kuwatokea 'puani' hapo kesho pale uwanja wa Azam Complex

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema amehakikisha wachezaji wote wamezisikia kauli za msemaji huyo na sasa jukumu lao ni moja tu, kwenda kujibu kunako dimba la Azam Complex hapo kesho

Msimu uliopita hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa Yanga ilisonga mbele raundi ya kwa kibabe kwa ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Djibout TelecomΒ 

Mechi zote zilipigwa uwanja wa Azam Complex ambapo mechi ya mkondo wa kwanza Yanga ilishinda mabao 2-0 na kisha kushinda mabao 5-1 katika mchezo wa mkondo wa pili

Vital'o wameamsha hasira za wananchi, watarajie kukumbana na mechi ngumu hapo kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’