Mtibwa Sugar imetinga fainali kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2018
Mtibwa Sugar imetinga fainali kombe la FA
Mabao mawili ya kiungo Hassani Dilunga yameipeleka fainali ya kombe la FA Mtibwa Sugar baada ya kuilaza Stand United mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliopigwa dimba la Kambarage Shinyanga.

Mtibwa Sugar sasa inasubiri mshindi kati ya JKT Tanzania dhidi ya Singida United katika mchezo mwingine wa nusu fainali unaotarajiwa kupigwa kesho, April 21.

Fainali ya kombe la FA itapigwa Juni 02 2018 kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.

Kwa mara ya kwanza fainali hiyo haitahusisha vilabu vya Simba, Yanga na Azam FC ambazo zote zimeondoshwa.

Bingwa wa kombe la FA (ASFC) ataiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika mwakani
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’