Licha ya kushinda mabao 4-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, Yanga imepania kuweka rekodi siku ya Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa pale itakapoikabili Vital'o ukiwa ni mchezo wa pili wa hatua ya awali ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Hii itakuwa siku maalum kwa Wananchi kwani uzinduzi rasmi wa michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu utafanyika
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameendelea kuwaandaa vijana wake ambapo leo aliwapa program maalum ya Gym ili kuimarisha utimamu wa miili







ADVERTISE HERE