'Kibunda' cha Mama kimesoma 50M

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Aug 2024
'Kibunda' cha Mama kimesoma 50M

Katika mechi ya hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Vital'o, Yanga imekusanya jumla ya Tsh Milioni 50 ya bonas ya goli la Mama

Ni mwendelezo wa utaratibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk. Samia Suluhu Hassan kuongeza hamasa kwa kutoa Tsh Milioni 5 kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya awali na kupelekea ushindi

Yanga ilikusanya Milioni 20 katika mchezo wa mkondo wa kwanza baada ya ushindi wa mabao 4-0 na jana ikakusanya Milioni 30 baada ya ushindi wa mabao 6-0

Je Wananchi watakusanya Tsh ngapi katika raundi ya kwanza ambapo watacheza dhidi ya CBE ya Ethiopia?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’