Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Avic Town kujiandaa na mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu
Yanga itasafiri mkoani Kagera kuumana na Kagera Sugar katika mchezo utakaopigwa Alhamisi, August 29 katika uwanja wa Kaitaba










ADVERTISE HERE