Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Kagera kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi katika uwanja wa Kaitaba, saa 12:30 jioni









Yanga imepata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege wa Bukoba
ADVERTISE HERE