Baada ya kubeba alama zote tatu mkoani Kagera, kikosi cha Yanga kinarejea Dar es salaam kwa mapumziko kabla ya kuanza maandalizi ya mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya CBE ya Ethiopia utakaopigwa Septemba 13
Meneja wa Yanga Walter Harrison ameesema wachezaji wenye majukumu ya timu za Taifa wao wanatarajiwa kwenda kujiunga na timu zao





ADVERTISE HERE