Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeshindwa kutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Ethiopia
Stars watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kuondoka na alama zote tatu katika mchezo ambao walitawala hasa dakika 45 za kipindi cha pili
Ethiopia walikuja na mpango wa kusaka angalau alama moja wakicheza taratibu wakionana kwa pasi fupifupi
Ni matokeo ambayo yanaweza kuwaongezea Stars mzigo wa kufuzu Afcon 2025
ADVERTISE HERE