Baada kutinga hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho, Yanga imepata mwaliko Bungeni mkoani Dodoma.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amethibitisha mwaliko huo kutoka kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na tayari pamoja nae, Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa wako safarini mkoani Dodoma.
Yanga iko mkoani Mbeya na kesho Jumapili inashuka kwenye uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City

ADVERTISE HERE