Mzize mchezaji bora wa Yanga August 2024

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2024
Mzize mchezaji bora wa Yanga August 2024

Mshambuliaji Clement Mzize amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi August 2024 (NIC Player of the Month)

Mzize ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga akiwashinda Djigui Diarra na Maxi Nzengeli

Mzize aliuwasha moto kwelikweli mwezi August akiifungia Yanga mabao muhimu katika Ngao ya Jamii na Ligi Kuu

Ataondoka na kitita cha Tsh Milioni 4 pamoja na tuzo kutoka kwa wadhamini NIC

Hongera Mzize...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’