Nyota Yanga walivyokamilisha majukumu ya timu za Taifa kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2024
Nyota Yanga walivyokamilisha majukumu ya timu za Taifa kibabe

Akiitumikia timu ya Taifa ya Kenya, kiungo kiraka wa Yanga Duke Abuya jana aliifungia nchi yake bao muhimu katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namibia

Mudathir Yahya nae akafanya kile alichofanya Abuya baada ya kifungia timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' bao la ushindi katika mchezo dhidi ya Guinea ambao Stars iliibuka na ushindi wa mabao 2-1

Lakini kule Zambia, Kennedy Musonda nae akaweka kambani bao muhimu kwa timu yake ya Taifa katika ushindi wa mabao 3-2 ambao Zambia waliupata nyumbani dhidi ya Sierra Lione

Mkufunzi wa Zambia Avan Grant aliwaanzisha nyota wawili wa Yanga Clatous Chama na Musonda katika mchezo ambao kama ulikuwa uamue hatma ya kocha huyo kuendelea kuifundisha Zambia

Nyota wote 14 waliokuwa timu za Taifa, wamekuwa na wakati mzuri kwani asilimia 90 wamepata nafasi ya kutumika

Wachezaji hao sasa wanarejea kwa ajili ya majukumu ya klabu kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi CAF CL dhidi ya CBE SA utakaopigwa Jumamosi, Septemba 14

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’