Malengo ni kusaka ushindi Ethiopia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2024
Malengo ni kusaka ushindi Ethiopia

Kikosi cha Yanga kesho Jumamosi majira ya saa 9 Alasiri kitashuka uwanja wa Abebe Bikila kumenyana na CBE SA katika mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya pili michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa anahitaji kuona vijana wake wanapambana na kuibuka na ushindi katika mchezo huo na kurejea Dar kumalizia dakika 90 nyingine pasipo kuwa na presha

Habari njema kwa Yanga ni kuwa wachezaji wote ambao walikuwa na majukumu ya timu za Taifa waliwasili jana Addis Ababa na kuungana na wenzao waliotua mapema asubuhi

Ni nyota wawili tu ambao walichelewa kuwasili Kennedy Musonda na Clatous Chama ambao walitokea moja kwa moja Zambia

Jana Yanga ilifanya mazoezi katika dimba la Abebe Bikila na siku ya leo Wananchi watahitimisha maandalizi yao katika uwanja huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’