Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe leo ataendesha semina ya kuwapa uzoefu na weledi maafisa habari wa klabu za ligi kuu ya Zanzibar
Semina hiyo imeandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF)

ADVERTISE HERE