Baada ya kutua Zanzibar mapema leo, usiku huu kikosi cha Yanga kitafanya mazoezi yake katika uwanja wa New Amaan Complex ambao mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA utapigwa siku ya Jumamosi
Wananchi wataanza mazoezi yao saa 2:30 usiku katika muda ambao mchezo huo utapigwa
Kesho Ijumaa, CBE SA nao watapata nafasi ya kufanya mazoezi yao ya mwsho katika uwanja huo







ADVERTISE HERE